…
STRAIGHT MUZIC wafanya tena makamuzi katika INTERCOLLEGE SPECIAL ambapo aliweza kumdondosha amkali wa Hip Hop mtu mzima Fabolous katika viwanja vya Leaders Club ambapo Nyomi la watu lilimwagika kutazama show hiyo aliokua mmejumlisha na wakali wa Bongo Fleva wakiwamo wakongwe Kibaoo kama Afande Sele,Gangwe Mob,Juma Nature, J Mo & Mchizi Mox,JWM,Kikozi cha mizinga,Joh Makin na katika kizazi kipya ni Barnabaz,Diamond,THT Dancers na wengine kibao

No comments:
Post a Comment