Ambapo watu wengine wamelitamsiri kua neno 'Ivy" linamaanisha namba 4 kwa kirumi ambapo inasemekana labda ni kwasababu Jay z na Beyonce wote walizaliwa siku ya tarehe 4 na wakaoona siku ya terehe 4 december na wengine walidai kwamba labda ni muendelezo wa Album zake mtu mzima jigga wa Blu print 1,2 & 3...
Na huku maana ya neno "Blue" ni inajulikana kua ni rangi Jay Z anayoipenda toka yupo mdogo.....sasa basii wengine wakaja na tafsiri yao na Ki Free Mansons na kudai kua jina la mtoto huyo wa Beyonce & Jay Z lina maana hiii...
•Ivy = illuminati's Very Youngest
•Blue = Born Living Under Evil
na haya maneno ukiyageuza nyuma kwenda mbele inakua (Elub Yvi) ambapo kwa Lugha ya ki Latin inamaanisha ni Mtoto wa Shetani.......sasa zote zinaleta maana je tuamini kipi??
No comments:
Post a Comment