Wednesday, February 8, 2012

SHEREHE ZA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 35 YA CCM MWANZA ZAFANA.


Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya KIkwete akisalimia wananchi alipowasili kwenye Uwanja wa CCM Kirumba katika kilele cha maadhimisho ya miaka 35 ya CCM, leo.
Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Suma Lee akionyesha umahiri wake alipopanda jukwaani kutumbuiza wakati wa sherehe hizo.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akisalimia wananchi alipowasili kwenye Uwanja wa CCM Kirumba katika kilele cha maadhimisho ya miaka 35 ya CCM, leo.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya KIkwete akisalimia wananchi alipowasili kwenye Uwanja wa CCM Kirumba katika kilele cha maadhimisho ya miaka 35 ya CCM, leo.
Gwaride la Vijana wa CCM likipita kwa ukakamavu mbele ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete wakati wa sherehe za kilele hicho. Vijana 400 wameshiriki gwaride hilo.
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete akipokea salamu za heshima kutoka kwa gwaride la vijana wa CCM wakati wa sherehe hizo. Wengine kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza Clement Mabina na kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama.
Mama Salma Kikwete na Spika Anne Makinda na wakinamama wakisherehekea miaka 35 ya CCM baada ya kukunwa na wimbo wa Vicky Kamata.
Licha ya kuingia kwa foleni, Uwanja wa CCM Kirumba ulifurika watu wakati wa sherehe hizo. Pichani, wananchi wakiwa kwenye foleni kuingia uwanjani.
Maelfu ya watu waliohudhuria sherehe za kilele cha maadhimisho ya miaka 35 ya CCM Uwanja wa Kirumba jijini Mwanza leo.
Maelfu ya watu waliohudhuria sherehe za kilele cha maadhimisho ya miaka 35 ya CCM Uwanja wa Kirumba jijini Mwanza leo.
Pichani Juu na Chini ni Rais Jakaya Kikwete akihutubia maelfu ya wana CCM na wakaazi wa Mwanza leo katika kuadhimisha miaka 35 ya CCM uwanja wa Kirumba.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akicheza muziki wa Suma Lee jukwaani.(Picha zote Bashir Nkoromo na IKULU).

No comments:

Post a Comment