Saturday, May 7, 2011
MENEJA WA MINI SUPERMARKET MALIMBE HAWATOLEA WANAFUNZI WA ST. AGUSTINE BASTOLA
Tukio la ajabu limetokea jana majira ya saa kumi na robo jioni baada ya meneja wa mini supermarket al maarufu container kuwa tolea bastola wanafunzi wa SAUT baada ya kiti kimoja na meza kuvunjwa na mmoja wa wanafunzi hao na kisha kukimbia akiwaa achia msala wenzie hao ambao walianza kuzozana na meneja huyo aliyetaka kuwasachi na kuchukua vitambulisho vyao ili waka mlete mwanzao huyo aliye kimbia kitu ambacho kilipingwa vikari na wanafunzi hao ndipo meneja huyo akatoa bastola na kutishia kuwa shoot wanafunzi hao na kuwa temesha mali zao ili wamlete mwenzao huyo alisema mmoja wa washkaji hao ambaye hakutaka jina lake liluke onair kwa usalama anadai walianza kunywa hapo toka saa nne asubuhi lakini hiyo ndiyo shukrani ya uongozi wa container wakati viti vyenyewe wanapewa bure. Mpaka Rockcitystuners inaingia mzigoni washkaji walikuwa bado wanafukuzia RB ili sheria ifate mkondo wake.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment